WENGINE NIKIWAAMBIA MIE SIO "SHEIKH"WANAVUNJIKA MOYO SANA, MATARAJIO YAO YANAPOROMOKA IKISHA WANANIKIMBIA, KWA SABABU NIMESHINDWA KUJAZA MIOYO YAO MATUMAINI YA KILE WANACHOTAKA NA SANA WANATAKA LABDA NIWATISHE KWA MOTO AU NIWAFURAHISHE KWA PEPO. NNACHOFANYA MIMI NIKUKUJULISHA KUWA KUNA KITU KINAITWA ROHO UKIWEZA KUKIJUA HICHO BASI PIA UTAUJUA MOTO NA PEPO KWA PAMOJA IKISHA WEWE MWENYEWE UTACHAGUA MAKAAZI YAKO YAWE WAPI, SASA HIVI BADO KIPOFU , BADO HUJIJUI UKO KWENYE MSITU WA DUNIA HALI YAKUA NI KIPOFU, UNATEMBEA HUONI UMEFUNIKWA NA MLIMA MKUBWA UITWAO AKILI UNATAKIWA UPANDE KILELENI ILI UONE UPANDE WA PILI, PANDA UCHUNGULIE ROHO YAKO IKOJE, NA UKIFIKA KILELENI HUTAKI TENA SHEIKH, HUTAKI TENA MAWAIDHA, (YOU BECOME EVERYTHING) SASA VIPI UTAUPANDA HUU MLIMA KWA LUGHA YA RAHISI KWA WALOFIKA WAKASHUHUDIA WANAITA (BEYOND MIND)AKILI NDIO MPINZANI MKUBWA WA WEWE KUIJUA ROHO YAKO. KWANINI? KWA SABABU (MIND)NI KITU UNACHO RITHISHWA NI (SOFTWARE)INAYOENDELEA, IMETIWA MAMBO MENGI HUNA KITU KIPYA CHAKO, KILA KITU UMERITHI JICHUNGUZE UTAELEWA VIZURI SANA, SASA KUTOKANA NA HIYO (SYSTEMS) NDIO UNAENDELEA KUFANYA UHARIBIFU HUWEZI KUWACHA, HUWEZI KUJIKWAMUA UMEKWAMA .SASA UKITAKA KUJIKWAMUA UFANYE NINI( NDIO HAPO NAKUALIKA KAMA KWELI MPENZI WA MUNGU CHUPA UJIUNGE NAMI)TAFUTA MUUJIZA WA ROHO UZIPATE FAIDA ZAKE, SASA UNAFANYA NINI ILI UJUE MUUJIZA HUU KUNA NJIA MBILI YA KWANZA ILE YA KUJAALIWA NA YA PILI NI ILE YA JITIHADA. KUJAALIWA NI KULE KUSHUSHIWA (ILHAM, KUIPATA LAYLATUL QADIR, KUPEWA HEKIMA) JITIHADA NI KAMA NILIVOSEMA UGEUKE MWANASAYANSI UFANYE JITIHADA KAMA VILE (MEDITATION) QURAAN INASEMA "HAKIKA MWANAADAMU NI MWENYE KUIONA NAFSI YAKE" (AYA YA 14 SURA YA KIYAMAH) SASA SWALI LA KUJIULIZA NANI HUYO MWENYE KUIONA NAFSI YAKE, MWENYE KUIONA NAFSI KAJISAHAU NAFSI IMEKUA INAMTIZAMA YEYE .SASA NINI KIFANYIKE KUIONA ROHO YAKO INATAKIWA KUITULIZA AKILI ISIMAME KABISA ITAKAPO SIMAMA AKILI YAKO IKAWA HUNA WAZO LOLOTE KWENYE MIND YAKO HAPO NDIO UTAKAPOKUTANA NA MIUJIZA NA MSHANGAO HUJAPATA KUUONA, NAKUANZIA HAPO KILA KITU CHAKO KITABADILIKA SALA YAKO ITAKUA NYENGINE KABISA MUONO WAKO WA KIDUNIA UTAKUA MPYA KABISA. HAPO NDIO TAQWA INAZALIWA MAPENZI YANACHIPUA, BARAKA NA KARAMA ZINATOKEA HAPO MIUJIZA INATENDEKA HAPO UTAKACHO UNA UWEZO WA KIROHO KUKIPATA SASA UFANYE NINI KUIPATA HALI KAMA HIYO, WENGINE WANAHAMA KWENDA MASHAMBA NA KUTAFUTA UTULIVU MILIMANI MAPANGONI AU KUFIKIA KUJITENGA NA WATU ILI AKILI IWE [EMPTY]SASA KAMA WEWE HUWEZI KUJITENGA ANZA NA KAMA ULIVOKUMBUSHWA NA QURAAN "KUWA MWANAADAMU MWENYE KUJIONA"(BE WITNESS)"FANYA KAMA MIEZI MITATU JITIZAME MATENDO YAKO YOTE, UKITEMBEA JITIZAME, UKISALI JITIZAME, UKILA JIANGALIE, UKISEMA JITIZAME, UKISIKILIZA JITIZAME, KABLA YA KULALA JITIZAME, TAZAMA MATENDO YAKO YOTE, SIKU MOJA UTAJIKUTA UMEWASILI KWENYE MUUJIZA WA ROHO MPAKA HAPO SIWEZI KUHADITHIA TENA NATAKA USHUHUDIE MWENYEWE NDIO UTAJUA KWANINI MAULANA "RUMI" AKAJIBIWA MWENYE KUNIJUA MIMI HATOKUFA.
HAPO KUNA SIRI KUBWA PENYE UHAI TUTATOA ISHARA ILI KWA WALE WENYE KUJITAHIDI WAPATE MATUMAINI, NAMALIZIA KWA KUSEMA UKIFIKIA HALI HIYO MPAKA VIUNGO VYAKO VYA NDANI UTAKUA NA UWEZO WA KUVIONA HUNA HAJA YA (SCAN) TENA. INSHAALAH NTAENDELEA KUTOA MUONGOZO KWA WALE WENYE KUHITAJI ELIMU HII YA KIROHO ILI WAPATE FAIDA ZAKE
SHUKRAN
No comments:
Post a Comment