Monday, January 1, 2018

SIRI YA UCHAWI PART 3

Asalaam Aleiykum

Wanachofanya Wachawi katika Elimu hii ni lile tendo lenyewe lilogawika sehemu mbili, sehemu ya kwanza ambayo ni (Visible)hii ni rahisi sana na kuna hiyo ya pili ya (Invisible)ambayo ni wachache katika wanaadamu wanoijua na wengi katika majini ni wenye kuimiliki elimu hii.
Hapa sina haja ya kuzungumza mambo ya kichawi ila nataka nikupe muongozo nini kinafanywa mpaka ukarogwa, wala usidhani nitataja dawa zinofanyika nisije nikaharibia waganga wapatao riziki kwa kuwatibia watu ambao wanategemea kazi hiyo kuendeleza maisha yao.
Nini Kinafanyika, umesoma aya inasema Mwenye kutia wasiwasi kwenye kifua cha mtu, wasiwasi huu unatiwa wapi, chochote kile kinachofanyika (Target) inakua sehemu moja kwa lugha zenu za kitaalamu kitu hicho kinaitwa (Vagus Nerve)Yanatiwa maradhi hapo ima iwe kwa kuguswa au kwa chakula au kwa njia ya (Mediumship) ndio huko kunogonezwa(whisper), nini inatokea kinapochezewa hiyo (Nerve) yanapatikana madhara makubwa ambayo hata (Doctor)wenu wa kizungu hawezi kujua unaumwa nini, Kwa Sababu kitu hicho kinafanya kazi kama (Second Brain).

Hiyo ndio inaleta matatizo yote katika Mwili, kwa sababu (Nerves)hizi ni kiunganishi cha kwenye (Voice box) Ulimi, utumbo na (Major Organ) zote, zikichezewa hizo Mwanaadamu unaingia matesoni, hujulikani unaumwa nini, hiyo ndio njia inayotumika kukutesa kwa njia za Kichawi, Chakula kinatumika sana kufanya uharibifu wa (Nerves)hizi, Kumbuka hakuna awezaye kuigusa Roho yako ila wanagusa Mwili wako, na kama huko imara hapo tena utaliwa pesa kwa dawa za uongo mpaka upate mtu anayefahamu kukutibu kwa njia mbili za (Clinical Therapy) au (Medium Therapy)lakini mwenye kujua vipi umeathirika.
Unaweza kupewa dawa au (Kombe unywe) au kusomewa (Ruqya) au Vidonge vya Hospital yote hayo ni kutibu hizo (Vagus Nerves).
Usidhani kazi yake ni rahisi kwa sababu kila ukipimwa vipimo vyote vinaonesha uko sawa, ndio maana nikasema mpaka upate mtu mwenye ujuzi na kwa miaka hii ni wachache sana wenye kujua Elimu hizi, hiyo ndio shughuli ya kichawi unayofanyiwa, na nyengine ni (Accident) unazoweza kupata zikasababisha uteseke na maradhi yenye kusababishwa na (Vagus nerves) kwa hiyo kuwa makini kujijua umefanyiwa uchawi au maradhi ya kujipa mwenyewe.
(Nerve) Hizi ndio zenye kuunganisha Baina ya (Mind) yako na Mwili wako, Na ndizo zenye kuufanya moyo kuwa na wasiwasi mkubwa kama ilivyo sema huko nyuma hiyo sura ya (Nass), Ukiweza kujua hilo ndio utaweza kusema kwa yakini najilinda kwa Mfalme aloviumba vyote vilivyomo kwenye Ulimwengu huu, Ili nisipate kutiwa wasiwasi kwenye nafsi yangu.

1 comment:

  1. UTAJIRI AU FEDHA ZA NDAGU AU MAJINI KWA MUDA MFUPI

    (Kwanza kabisa nataka kukwambia kwamba hakika utajili ni azina kutoka kwa mwenyezi mungu na pia kuna viumbe alio wapa mamlaka na nguvu ya kumiliki mali)


    MPAKA MASAA 72(SIKU3) PAPO HAPO KWA MASHARTI MAALUM KIKUBWA UWE MWAMINIFU, JASILI NA UWE NA UTAYARI WA KUPOKEA MASHARTI YA KUTUNZA SIRI HII SIO MZAHA......

    KUMBUKA MALIPO NI BAADA YA KUFANIKIWA

    kwa maelezo kamili piga namba +255742162843

    (KWANINI USUMBUKE,HACHA KUTANGATANGA, NA MAISHA NI MAFUPI PUUZA UONGOFU WA KUWA MTU KUWA TAJIRI NI DHAMBI WAKATI AKUAMBIAE YEYE NI TAJIRI (Tumia ufahamu kujinasuaUTAJIRI WA NDAGU(MASHARTI) NDANI YA MASAA 72(SIKU TATU) PAPO HAPO KIKUBWA UWE MWAMINIFU, JASILI NA UWE NA UTAYARI WA KUPOKEA MASHARTI YA KUTUNZA SIRI HII SIO MZAHA......

    NAITWA DR, MDIRO piga 0742162843. KAMA UNAITAJI PESA ZA MAJINI AU NDAGU YA MALI AU ULINZI KWA MALI YAKO
    (HUSITUME SMS PIGA SIMU KUHEPUKA MATAPELI)
    MATIBABU MENGINEYO NI KAMA UTULIVU KATIKA NDOA, AU KUMVUTA UMPENDAE, KUONDOA MIKOSI, MABALAA, KUOSHA NYOTA, KUITAMBUA NYOTA YAKO NA ASILI YA KAZI YAKE, KAMA UNASUMBULIWA NA MAJINI MAHABA NA SHIDA YA UZAZI.

    NIPIGIE 0742162843. KIKUBWA NI KUSIKILIZA NA KUFATA MASHARTI. ANGALIZO USITUME SMS PIGA NA UWE NA NIA.

    (kuhusu utajiri au pesa) KABLA YA KUPIGA SIMU ZINGATIA YAFUATAYO
    1. uwe una umri wa miaka 18+
    2. uwe tayari kupokea masharti yote
    3.uwe na uwezo wa kutunza siri
    4. uwe jasiri wa kupokea taarifa yoyote
    KARIBU SANA KWA SHIDA NYINGINE PIA ULIYONAYO AMBAYO SIJATAJA INSHAALAH ITATATULIWA IKIWA NDANI YA UWEZO WANGU

    ReplyDelete