Monday, April 1, 2024

SIKU YA SIKU KUU (EID MUBARAK)

 KAMA WEWE MJA MWEMA KIKWELI KWELI UNAPAMBANA NA HALI HII KUWA MJI WATU WAMESHUGHULIKA, BIASHARA ZIMEPAMBA MOTO, MAGENDO YANAFANYIKA RUSHWA INATOLEWA, WATU WANANYIMWA HAKI ZAO UZINIFU UPO NJE NJE, WATU WAMEVAA NDIVO SIVO UCHI MTUPU, MATUSI YAMEZIDI MABARAZANI,WATU WANAONGEA MAMBO YA KIPUUZI, DISCO LINAPIGWA, SHETANI WA (TICTOK)KAVAA JOHO, HUKU MKEWE KACHARUKA (INSTAGRAM)HAKAMATIKI, KILA MUNKARATI UKO DHAHIR SHAHIR WEWE MUUMIN UMEITWA KWA MOLLAH WAKO UNAAMBIWA KAMA KWELI UMENIAMIN SASA (FUNGA). NINI FUNGA AU (SAUM)KWA MTAZAMO WANGU MIE (KUMBUKA NA WEWE UNA WAKO), SIKU HIZI CHACHE UNAAMBIWA (JIFUNGIE). UJIFUNGIE WAPI?, UMEINGIA DARSA HII KUMBUKA HUNA KOSA KAMA HUJAIPATA RAMADHAN YA MWAKA HUU UKIJAALIWA UTAIPATA YA MWAKANI PENYE UHAI. NILIPOSEMA JIFUNGIE USIJE KULETA MAANA YA LABDA UJIFUNGIE CHUMBANI AU UKIMBIE MJINI, NAPENDA UELEWE KUNA TAFAUTI YA KUFUNGWA NA KUJIFUNGIA, KUFUNGWA KUNALETA (MENTAL ILLNESS)KUJIFUNGIA NI (BLESSINGS)SASA NINI KINATOKEA PALE UNAPOFUNGA?.KUMBUKA UMEIFUNGIA (BODY)HAIPATI CHAKULA, NAPENDA UELEWE (BODY)YAKO NI (VERY INTELLIGENT)IKIFUNGIWA JAMBO LA MWANZO INAPATA(SHOCK)INAKIMBILA (STORE)KUTOA AKIBA YAKE YA CHAKULA NAKUPA (FAINT IDEA)KUWA WEWE NI (SEPARATE FROM YOUR BODY)LAKINI BADO HUJAJIJUA, UTAKAPO JIJUA UTANIKUMBUKA(NIOMBEE DUA)KUWA HUJAWAHI HULI WALA HUJAWAHI KULA WEWE NI NANI?(PATA WAKATI UJIULIZE HILI SWALI)NA KATIKA HIYO HIYO BODY KUNA KIUNGO CHENGINE AMBACHO NI MFANYAKAZI WAKO ANAITWA (BRAIN)AU ITA (MIND)UNAVOTAKA NAYO UMEINYIMA CHAKULA CHAKE KIUNGO HIKI KINA HASIRA KUBWA KWA SABABU KIMEKUTAWALA KIMEONDOKA KWENYE (USHAGHALA) SASA KIMEKUA (MASTER)KIUNGO HICHO NACHO KINA (PANIC)KINA SAHAU KUWA YEYE (SERVANT)UKIFUNGA NACHO KINAANZA KUKUULIZA MASWALI KUMETOKEA NINI?, KUMBUKA PALE UNAPOJIFUNGIA UNABAKI NA HUYU MWAMBA KUCHUANA NAYE(MIND)AKIGUNDUA SASA UNAPINGA AMRI ZAKE ANAANZA KUKUTESA NA YEYE ANA MBINU ZAKE NYINGI ZA KUKUMBUSHA VITU VYOTE VIZURI VYA MAASI NA VITUKO BASI HAPO TENA UJIWEZA KUISHINDA (MIND)IKAWA TULIVU HAIKUPI TENA HABARI NINI KINATOKEA?, KWANZA KABISA UTAJIKUTA WEWE NA AKILI YAKO MNATIZAMANA SASA HUTAKI MAASI HUTAKI UCHAFU HAKUNA TONE LA DHANBI KWA UPEO WA AKILI YAKO HAPO NDIO UTAKUA UMEPATA KUMI LA MWANZO NDIO LINAITWA KUMI LA (RHEMA). KUMBUKA HUJAISHINDA AKILI ILA UMEFANYA IKAE KIMYA KWA KUTO KUKUMBUSHA MATENDO YA DUNIA HAIKULETEI FIKRA ZA WIZI WALA DHULMA YA NAFSI (COMPLETELY SILENT)BASI MOJA KWA MOJA UTAJIKUTA UMETEREMKA KWENYE GHOROFA YA PILI ,KUMBUKA GHOROFA YA MWANZO NI KICHWANI(MIND)NA SASA UNASHUKA YA (2)AMBAKO NDIO MOYONI KWENYE KUMI LA (MAGHFIRA NA TAQWA). UTAKAPOFIKA MOYONI JIANGALIE UTAJIJUA PASIPO SHAKA KWA SABABU HISIA ZINABADILIKA(FEELING)ZAKO ZINA (CHANGE)SASA USHAFANIKIWA KUJITENGA NA (BODY)NA AKILI YAKO UKIWEZA KUIFUNGA SAUM YAKO KWA NJIA HIYO KWA MARA YA MWANZO UTAPATA NAFASI YA KUFAHAMU KUMBE MIMI SIO HUU MWILI, MIMI NI KITU CHENGINE KABISA NA UKIPATA HALI KAMA HIYO SASA UTAKUA TAYARI KULIVAA GUO LA TAQWA.

No comments:

Post a Comment